MAPIELI (Mapicha Elimu) Special Thread

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,590
3,626
Karibuni wote katika UZI huu utakao kuwa Unaelimisha WATU kwa njia ya Picha..

Ni Picha Mnato ama Video...

Karibuni WAELEVU...WAALIMU..WAFUKUNYUKU (Wadukuzi) na wegine wenye ujuzi unao endana na MADA hapo juu..
0efe53e21c37b0477cdee428526c6cbb.jpg

Mabadiriko yanapingana na MAZOEA..!!
 
inabidi sasa design ifuate user experience halafu hako ka mti kabaki kwenye hiyo triangle kama pambo
 
1a6dacf479636e24e8c6f2274f4b8490.jpg

Haya ndio MATARAJIO ya kijana toka Mtwara (W.C.B) Harmonize..

Anakuambia "kuna tofauti kati ya mtu kuzaa" na "mtu kuzaa mtoto wa KIZUNGU"

Vipi maoni yako..?
 
Mchina NUKSI...Hapa kesha okoa pesa...

Hakuna ngazi..hakuna kufunga Mkanda.
Ni hatari juu ya hatari..!!

Kwa nini hakupanda mmoja kati yao, apate kusikia uchungu wa kuwekewa JITI...!?

Na sisi Weusi njaa tunaiendekeza.
[HASHTAG]#Say[/HASHTAG] NO to cheap labor..
 
1a6dacf479636e24e8c6f2274f4b8490.jpg

Haya ndio MATARAJIO ya kijana toka Mtwara (W.C.B) Harmonize..

Anakuambia "kuna tofauti kati ya mtu kuzaa" na "mtu kuzaa mtoto wa KIZUNGU"

Vipi maoni yako..?

Hii picha nimeiona inazunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, inasemekana huyo maza amezaa mtoto kipofu na ukiituma kwa watu wengi uwezavyo ndio atapata fedha za kutosha kwaajili ya kumtibu mwanae.
sijajua ukweli wa mada hii
 
2f62ffcfc2d61793772d763e81c4833b.jpg

Our: hey, you no what men...!!
You are killing us SOFTLY...what da hell is...!!?

Inves: oooh, no..no mr WCB Presd..things are going to be good, but secretly...

Our: ok...ok..whach out..!! Not to that extent..!

Inves: no worry..!! Me en you..?
 
Back
Top Bottom