My Boss LISA. ATTENTION PLEASE....
Nyumba hii inalindwa na Mitambo maalum ya kisasa, Mbwa wakali sana, Masai wa kutosha wenye mishale
ya Sumu na Baba wa mtoto huyu anamiliki mitambo hatari kabisa...
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Industries Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute...