hiyo ya pili alafu wanashikana mikono wanakuwa kama wanavutana huku na kule yaaani basi raha tupu
Jana na leo...!!!
hahha unaanza kuwa expert kidogo kidogo... mwalimu naitaji pongezi kumbe
mwanafunzi anakaribia kumzid mwalimu
ah kunizidi ndo hutaweza, labda unifikie kidogo