Anatafutwa

Anatafutwa

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,059
d3ff5e019f98db85a698d2d5ef9be163.jpg

Jaman huyo mtu katika picha anatafutwa hajaonekana toka mwezi wa saba mwenye taarifa zake aziwasilishe police
 
Yeah maana tokea litokee tukio hajaonekana anapaswa aeleze alikuwa wapi muda wote na mpaka sasa anapanga nn maan ilikua hata akienda kubwa anapost sasa anakes ya kujibu
 
Tangu litokee tukio hajaonekana, tukio gan tena?
 
toka atoke nduki kwa Nape hajasimama huyo, bado anakimbia
 
Back
Top Bottom