Kipanya na media sijamuelewa !

Kipanya na media sijamuelewa !

Col FEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
327
Reaction score
460
Ndugu wa Jamvi ,

Naomba mwenye kuelewa fumbo la picha hii basi anijuze nipate uelewa.....
469019ed94b0353cb1eac01a472e1f73.jpg
 
Huyo kiumbe (media) yupo ndani ya maji kina kirefu amezama. Kuna mpira aliovaa puani kumsaidia kupata hewa inayotoka nje kabisa ya maji, lakini mpira ule kuna watu hawataki media apate hewa basi wameufinya na kuubana hapo kati ili hewa isipite. Maana yake media afe kabisaaaaaa. OVER! MULIIPENDA WENYEWE..!!!
 
Duuu !! Wacha tuombe Dua Lori lifike salaama
 
Du mkuu ubarikiwe,fumbo lilishakuwa gumu kulitanzua
 
Duuu !! Wacha tuombe Dua Lori lifike salaama
Liko linatembea kwa kukosakosa njia, lishaparamia vitu vingi hadi sasa na dereva ameshapaniki vibaya naona anawakomoa abiria wake. Ikifika saa 20:20 huenda likanasa kwenye tope, hapo ndo abiria watateremka. Me napiga dua huo muda uwadie nishuke zangu
 
Hapa napo patamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dereva wa lori ambae ndo mkuu wa msafara pia, yaan hapo yeye ni dereva, trafiki, kondakta, TRA, tingo, hakimu,........
Kifup ni kwamba kila rungu linaloshuka kwa kila mhimili wa serikali linakuwa linatoka kwake.
 
Back
Top Bottom