chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
[emoji1]![]()
Sawa mkuu, ila huyo mama alisema hivo kwasababu alijua hiyo thamani unayo izungumzia wewe kwa waschana wa sasa ni wachache sana.Thamani ya msichana ni uwezo wa kutatua matatizo yanayomkabili. Kubana mapaja sio thamani ya msichana.
Hiyo sio thaman.[emoji1]![]()
Sawa mkuu, ila huyo mama alisema hivo kwasababu alijua hiyo thamani unayo izungumzia wewe kwa waschana wa sasa ni wachache sana.
Ila thamani yao ni nini!?Hiyo sio thaman.
Pamoja Sana mkuu.Kubana mapaja ni kujikinga na mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya ngono hakuna la zaidi.
Kujua namna ya kukabiliana na changamoto katika maisha ya kila siku hiyo ndo thaman na kujitambua.Ila thamani yao ni nini!?
anakabiliana na changamoto ya kutongozwa hivyo kubana mapaja- kukataa ndo kuitatuaKujua namna ya kukabiliana na changamoto katika maisha ya kila siku hiyo ndo thaman na kujitambua.
Lugha alotumia mazaa sio kwa mtu kama yeye!
Sawa mkuu, uko sahihi piaKujua namna ya kukabiliana na changamoto katika maisha ya kila siku hiyo ndo thaman na kujitambua.
Lugha alotumia mazaa sio kwa mtu kama yeye!
[emoji1]Inategemea na mdudu, kuna kitu VIRUS......ni noma 😀😀😀
[emoji1] [emoji106]Ndo yale yale ya earphone/headphone