vistvist
Kazuuuri aiseeee
Itakuwa toleo jipya mkuu.[emoji2] [emoji2]vist
NDO GARI GANI WE JAMAA
Hilo gari vist limetoka mwaka ganivist
Sio kweli yeye kauliza gariwe sema umetaka tumuone huyo dada... ova
angepiga picha gari kwa nje tuoneSio kweli yeye kauliza gari
Hahahahaaa ama kweli uzuri wa mtu upo machoni pa anae mtazamaAcha uwongo wewe, uzuri wake ni sasa hapo?!