Kwa wale vijana wa .COM hii chini ni Radio aina ya Gramaphone, wakati wa miaka ya 70's kama mzee wako hakuwa nayo hii basi tena.
Miziki kama hii ndiyo iichezwa kwenye hiyo sahani na kisindano...
No :1
No:2
Ni lini sekta hii itakuja kulikomboa Taifa kama baadhi ya nchi zingine! Ni Rais gani atakuja na total reform katika hii sekta ili watanzania wafaidike na rasilimali zao?