Mtaani kwetu bana

Mtaani kwetu bana

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,673
Reaction score
1,251,098
Usijaribu egesha gari la soda kizembe
25036721_173641859907560_4725212810198384640_n.jpg

Dawa ikiisha lazima mbinu za kuikombeleza ipatikane
26066924_135914077103405_5855787200532185088_n.jpg
 
Yaan sheng full kuvurugana huwa sielewi kabisa
Usiwe na was mtu nguyaz, ukitembeza kiatu mitaa ya wajanjez, tao, yaani Nairobi au ukipenda 'concrete jungle' sheng utaing'am na kuirada tu mara dat dat budaboss. Hehe, samahani kwa kuvuruga lugha tuipendayo lakini hivo ndo ilivo jombaa. Sheng ni lugha ya kukanganya mafalastuka(washamba) na mamwere(wageni jijini). 😀😀😀
 
Hahahhahahahaha
 
Back
Top Bottom