anaweza akakuchamba hadi ukazimiaDem akishakuaga tu na hizo mavitu na pini puani aisee siez hata msogelea, naonaga uswahili mwingi na kinyaa juu.
Hawana issue hawa hawana vision ya maendeleo hata bure sitakiDem akishakuaga tu na hizo mavitu na pini puani aisee siez hata msogelea, naonaga uswahili mwingi na kinyaa juu.
mambo bebiUnaibiwaaa.....
Watu wa pwani mna majanga sana. Umefanya hata hamu ya kula imekata. Uchafu tu
Pouwa bebimambo bebi
nichum basPouwa bebi
hakuna uchafu hapo..labda useme hupendi tu. bodyart ipo dunia nzimaWatu wa pwani mna majanga sana. Umefanya hata hamu ya kula imekata. Uchafu tu
Tupo njia moja,Dem akishakuaga tu na hizo mavitu na pini puani aisee siez hata msogelea, naonaga uswahili mwingi na kinyaa juu.
Ndo ushamba wangu huu sipendi kabisa kuona huu uchafu na shanga juuDem akishakuaga tu na hizo mavitu na pini puani aisee siez hata msogelea, naonaga uswahili mwingi na kinyaa juu.
Duuuuh!!kamba ikikatika anaweza kulima?hukukwetu tunasenya kuni atasenya kweli na mikono milain hiyo,atachimba majimbi,changanya utonvu wa ndizi,kupandikiza mpunga na kupalilia?
Hata ww mtakatifu Ivuga unamwita mtu mzima bebi duhmambo bebi
Nnnwaaaahnichum bas
babe maana yake ni mtoto wa Yesu. ubarikiwe mpendwaHata ww mtakatifu Ivuga unamwita mtu mzima bebi duh
Hahaha Ivuga katika ubora ww ni noma ndg yangu kula za kutoshababe maana yake ni mtoto wa Yesu. ubarikiwe mpendwa