SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Feb 4, 2018 Thread starter #3 mshipa said: Lishe duni Click to expand... Mkuu, hawa mbwa wanapewa msosi kila siku jioni
mshipa JF-Expert Member Jun 16, 2015 12,160 22,615 Feb 4, 2018 #5 SNAP J said: Mkuu, hawa mbwa wanapewa msosi kila siku jioni Click to expand... Basi watakuwa wamepata utapia mlo
SNAP J said: Mkuu, hawa mbwa wanapewa msosi kila siku jioni Click to expand... Basi watakuwa wamepata utapia mlo
kiboboso JF-Expert Member Sep 17, 2013 9,182 12,286 Feb 4, 2018 #6 Mbwa mwenyewe kakonda mpaka anatamani kula majani kisa njaa
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,678 68,662 Feb 4, 2018 #10 Umemlisha Chakula ambacho kimedhuru.
Jagarld JF-Expert Member Apr 7, 2011 2,515 3,042 Feb 4, 2018 #11 Uko pembezoni mwa hifadhi yoyote au uko mbali....!
SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Feb 4, 2018 Thread starter #12 Jagarld said: Uko pembezoni mwa hifadhi yoyote au uko mbali....! Click to expand... Nipo mashambani mkuu
Jagarld said: Uko pembezoni mwa hifadhi yoyote au uko mbali....! Click to expand... Nipo mashambani mkuu
SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Feb 4, 2018 Thread starter #13 Agustino87 said: Mbwa mwenyewe kakonda mpaka anatamani kula majani kisa njaa Click to expand... Mkuu hebu leta ushauri tuyanusuru maisha ya wanyama hawa
Agustino87 said: Mbwa mwenyewe kakonda mpaka anatamani kula majani kisa njaa Click to expand... Mkuu hebu leta ushauri tuyanusuru maisha ya wanyama hawa
SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Feb 4, 2018 Thread starter #14 Mwadunda said: Tandika risasi tu! Click to expand... Mkuu kuna haki zinazowalinda wanyama kumbuka
SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Feb 4, 2018 Thread starter #15 dingigian said: Unaitwa "lighoko" kwa kikurya kwa kiswahili sijui Click to expand... Husababishwa na nini hasa!? Dawa yake ni nini!?
dingigian said: Unaitwa "lighoko" kwa kikurya kwa kiswahili sijui Click to expand... Husababishwa na nini hasa!? Dawa yake ni nini!?
SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Feb 4, 2018 Thread starter #16 King Kong III said: Umemlisha Chakula ambacho kimedhuru. Click to expand... Duhhh! You mean wanepata allergic reactions!?
King Kong III said: Umemlisha Chakula ambacho kimedhuru. Click to expand... Duhhh! You mean wanepata allergic reactions!?
SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Feb 4, 2018 Thread starter #17 jina halisi said: Kanda ya ziwa Click to expand... Ur right
Basi Nenda JF-Expert Member Jul 29, 2017 20,175 45,904 Feb 4, 2018 #18 SNAP J said: Mkuu, hawa mbwa wanapewa msosi kila siku jioni Click to expand... Hahaha,hiyo ndio lishe duni sasa
SNAP J said: Mkuu, hawa mbwa wanapewa msosi kila siku jioni Click to expand... Hahaha,hiyo ndio lishe duni sasa
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,678 68,662 Feb 4, 2018 #19 SNAP J said: Duhhh! You mean wanepata allergic reactions!? Click to expand... Yap.