Ninyi Bollywoid Africa, Movie zenu ni nzuri sana tatizo ni hao dubbers wenu wa kiswahili sijui mnao hao tu yaani kila movie sauti ni hizo hizo, inakera inachosha na inaboa, Badilikeni, tumieni...
Mbona hii ni hatari! Kwa nini tusihamasishe ujenzi wa nyumba bora kuliko kuwahatarishia raia maisha yao?
Hapo wanatafuta kuonyesha idadi kubwa ya watumia umeme bila kujali usalama wao.
Sent using...
Wajameni itazameni hiyo picha mimi nimeshindwa kuielewa kipanya ana maanisha nini maana nawaona wanafunzi tu sijui wanaenda shule[emoji849]
In God we trust
Sabina Chege, aliyekuwa anaigiza kama Rehema kwenye tamthilia maarufu kutoka Kenya, Tausi. Sasa ni Mheshimiwa Sabina Chege, mbunge anayeiwakilisha 'County' ya Murang'a(kwa muhula wake wa pili) na...
Kwa wale wenzangu wameishi au wanaoishi ughaibuni tukutane hapa.
Kwenye Uzi maaalumu wa kuweka picha,historia,vifutio,maendeleo na sifa ya miji ilioendelea kimaendeleo
Hizo hapo picha za mji wa...
jamani waTanzania tunajijua tunavyopenda mambo ya harusi (hasa kula na kunywa na kucheza KWAITO), maana kanisani/bomani wasindikizaji siku hizi hatuendi kabisaaaa. Sasa tizama picha zilizopigwa...