True / False?

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,908
IMG_20190328_200456.jpeg

Sent by anonymous user
 
Nimekuelewa mtani, na mimi naomba unijazie. Ila kama unavyojua siwezi kuchagua jibu lako
Hahaaaa. Hivyo kwako ni True Mtani?

Ila kwenye mambo ka hizi sio mbaya tukawaza pamoja ila tukija upande wa soka basi kila mmoja anashika njia yake Mtani. 😀😀😀
 
Hahaaaa. Hivyo kwako ni True Mtani?

Ila kwenye mambo ka hizi sio mbaya tukawaza pamoja ila tukija upande wa soka basi kila mmoja anashika njia yake Mtani. 😀😀😀

Hapo mimi ni true, namjazia na Shunie true.

Nilijikita kushangilia Liverpool, ila sasa narudi nyumbani naona kumenoga.

Hivi umewahi kuiona Simba kama hii lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom