Tanesco Tuache Utani na Maisha ya Watu

Tanesco Tuache Utani na Maisha ya Watu

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,039
Reaction score
74,739
Mbona hii ni hatari! Kwa nini tusihamasishe ujenzi wa nyumba bora kuliko kuwahatarishia raia maisha yao?
Hapo wanatafuta kuonyesha idadi kubwa ya watumia umeme bila kujali usalama wao.
godblessjlema1___Bvq2Ng0FN8L___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hii ni hatari! Kwa nini tusihamasishe ujenzi wa nyumba bora kuliko kuwahatarishia raia maisha yao?
Hapo wanatafuta kuonyesha idadi kubwa ya watumia umeme bila kujali usalama wao.View attachment 1059231

Sent using Jamii Forums mobile app
TANESCO pamoja udhaifu wa Shirika hilo, wafanyakazi wake wasingekubali kufunga umeme kwenye nyumba kama hizo bila shinikizo toka juu. Wakuu wao wengi mahili wametumbuliwa kwa misimamo yao ya kitaalamu kwa hiyo waliobaki wanajihami kwa kufanya tunayoshuhudia.
 
Hapo ndo shida la wasomi wa kiTanzania kwanini ufanye jambo kinyume na utaalamu wako........ndomaana hatuwezi kufanyakazi katika mashirika ya kimataifa tunaharibu Cv zetu bila kujua.......sasa kwa picha hiyo enginia wa Tanesco hawezi kupata kazi ya kimataifa kubwa popote duniani.......ndo maana wakistaafu wanakimbilia kufuga kuku ngombe wa maziwa kufungua shule za msingi.....sio kazi za kitaalamu tena kasha haribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zamani ilikua huwezikufungiwa umeme kwenye nyumba kama hii. siasa imeiondoa miko ya tanesco.
 
Unakuta Mtu na Mkewe na Watoto wake Wanaoga Mara moja kwa Mwezi kutokana na Ukosefu wa Maji

Badala ya kuanza na Maji wao wanaanza na Umeme.
 
Mbona hii ni hatari! Kwa nini tusihamasishe ujenzi wa nyumba bora kuliko kuwahatarishia raia maisha yao?
Hapo wanatafuta kuonyesha idadi kubwa ya watumia umeme bila kujali usalama wao.View attachment 1059231

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye post ingine nimeweka wazi kwamba matumizi ya READY BOX solution yameelekezwa kwenye kaya za aina ya picha muionayo, kwamba hapo hakuna WIRING. Niongeze kwamba hata BULBS hutolewa na mkandarasi na ni sehemu ya CONTRACT.

INAELEKEA kwamba statistically wapo wengi humu ambao they are in DENIAL. Kwamba, makazi kama unayoona ni taswira ya hali halisi ya asilimia kubwa ya makazi ya wengi Tanzania.
Hapa najiuliza kama ni KWELI wengi wetu tumesahau TANZANIA ni MASKINI per se na ni alarmingly PRIMITIVE. PRIMITIVE! Au nimekosea?
 
Watu wanaangalia kodi iingiavyo kuliko maisha ya mtu yapoteapo

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Kwenye post ingine nimeweka wazi kwamba matumizi ya READY BOX solution yameelekezwa kwenye kaya za aina ya picha muionayo, kwamba hapo hakuna WIRING. Niongeze kwamba hata BULBS hutolewa na mkandarasi na ni sehemu ya CONTRACT.

INAELEKEA kwamba statistically wapo wengi humu ambao they are in DENIAL. Kwamba, makazi kama unayoona ni taswira ya hali halisi ya asilimia kubwa ya makazi ya wengi Tanzania.
Hapa najiuliza kama ni KWELI wengi wetu tumesahau TANZANIA ni MASKINI per se na ni alarmingly PRIMITIVE. PRIMITIVE! Au nimekosea?
Tanzania sio maskini, ni tajiri sana and we can be a dona country, acha uchochezi 😂😂
 
Maendeleo Hayana Chama
Maendeleo Hayana Nyumba
 
Back
Top Bottom