KIAPNYA ameendelea kutufumbua macho ya nini kinaendelea kule Zanzibar juu ya wagombea wa ACT.
Wenye uelewa wa habari picha tudadavue kwa undani.
In God we Trust
Mwl Majliwa mwenye shati la bluu enzi hizo akiwa anapiga chaki shuleni. Ukimuangalia ni kuwa alishaanza kuzeeka lakini sasa ni Waziri mkuu anaonekana kijana zaidi. Siasa inalipa sana!
Alivyo...