Sauti ya ATM tamu sana ikiwa inatoa hela

Sauti ya ATM tamu sana ikiwa inatoa hela

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,339
Reaction score
2,006
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
f7e98a20e870fc6ee2c7d261ae733298.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamu wa pipi ni mate yako ujue! Pesa utakua umeziweka mwenyewe au malipo yako baada ya jasho la kazi. Yote kwa yote ni sauti taaam sana😛😛😛
 
Umeahidiwa utatumiwa pesa via bank. Kila dk unaenda kuchungulia ATM unakuta bila bila mzee. Mara unaenda tena ATM unamkuta jamaa anatoa ela mashine inalia trriiiiiiiiiiiii. Wewe unaanza kuchomeka kadi, kuuliza salio acc inasoma sifuri. Mpaka unatoka bado jamaa mashine inatema mzigo trriiiiiiiiiiiii halafu yupo na kademu pembeni halafu weekend.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom