Katuni: Zitto Anavyowalamba Wazungu miguu

Katuni: Zitto Anavyowalamba Wazungu miguu

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
b1588fc6-1294-4ef7-8b3b-375c96c03da2.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwamba hiko kiatu ni kitamu sanaa? naona mpaka mate yanamwagika.
 
anayelamba miguu ni yule anayesema tusipewe hio misaada na so called hao mabeberu au yule anayekasirika kwanini jamaa anasema tusipewe...,

By the way Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa.., hamuachi kuwaita watu mabeberu at the same time mnatembeza bakuli...
 
Wakikosolewa wanawaita mabeberu wakihitaaji dolari zao wanawaita wafadhili, wahisani na wabia wa maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom