Kwa wale wenzangu wa Kwamtogole hivi ndivyo wa ushuani huandaa chai ya adhuhuri

EP PRO

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,699
2,000
Ushuani hawajui kupika haswa mabinti ni hovyo katika mapishi na migegedo, na hivyo vitafunwa wamenunua uswahilini
Mzee baba sikuhiz utandawazi. Utakuta yale makabila yanayojulikan kwa ufundi hakuna kitu, harafu yale yanajulikana ni wazembe utakuta binti anapiga mzigo vibaya mno. Watu wanajifunza mitandaon, makazini kwa wenzao wajuao vitu, kwa parsonal trainer nk

Same goesz kuna watoto wa uswazi wanajifanya ma princess, ma slay queen, ukijua kwao ni uswazi unajuaa leo kazi ninayo kumbe ovyo tu, anajua kuivisha chakula tu na sio mapishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,392
2,000
EP PRO,
Generally uswazi ndo kukovizuri kwa mapishi na mambo ya kitandani, hao wa mboga saba katika 100 unaweza kupata 3 tu ndo wqzuri wa mambo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom