Siku izi waafrica na hasa wabongo wakipiga picha lazima waonyeshe alama ya V, au kumwonyeshe kidole mwezake.
Ivi huwa mnajua maana yake au mnaiga tu?
Kwann mnakuwa feki ivi?
Nilikuwa nasoma habari za burudani katika website ya CNN nikakutnana na picha ya Lauryn Hill kama inavyoonekana hapa chini. Kilichonikuna zaidi ni hiyo background banner inayoonyesha Tanzania...
Kwa wale wanaohitaji hii, zipo za kumwaga from Small size to XXXXL. Zapatikana katika ofisi za vijana wetu Lumumba na hata mikoani. ukihitaji uje na kitambulisho chako cha Kazi..ni bure hakuna...
Wengi huwa na hisia tofauti kukutana na mwanamke anayefuga ndevu kama dume!!. Hizi ni za kike..
Annie Jones toured with P.T. Barnum's circus in the 19th century.
Crazy...
Na Maggid Mjengwa,
ZAMANI sana kulikuwa na bendi ya muziki wa dansi ya Kiwanda Cha Urafiki.
Iliitwa Urafiki Jazz Band, wana Chakachua. Naam. Wanamuziki wale waliweza
kuchakachua ala za muziki...
Eti wewe uonavyo kamanda anamwambiaje mrembo hapo??? Nimeibamba hii picha kwa mshikaji wangu kwenye fb, anasema aliipiga akiwa njombe-iringa. its so nice nikaona tufurahie wote. its natural and...
Mtoto mwingine mwenye fair haired,green eyed aliyezaliwa na wazazi weusi <?xml:namespace prefix = st1 ns = "urn:schemas-microsoft-com:office:smarttags"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.