Fahari ya nyanda za juu kusini

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Dabo+rodi.jpg

Dabo rodi ya Sumbawanga, no lami no taa, yaani.. we acha tu

Roundi abouti ya mzunguko ya mpanda mjini, Rukwa

twiga.jpg

Katavi Neshno Paki, Mpanda, Mkoa wa Rukwa

IMG_0804.jpg

Matema Beach hapa, Ufukweni mwa lake Nyassa

Ndizi kisukari, mia tano tu!! Karibuni tukuyu jamani

Hapa mkungu wa ndizi buku jero tu umekula!!

Pole yenu mnaong'ang'ania Bongo kwenye kero kibao kama foleni, joto kali, maisha ghali n.k
Mwakaribishwa huku kwetu nyanda za juu kusini hewa safi, chakula bwerere na maziwa ya kuoga....

<TABLE border=0 width=350 align=right><TBODY><TR><TD></TD></TR><TR><TD class=formstyle vAlign=top></TD></TR><TR><TD class=top_tabs></TD></TR></TBODY></TABLE>
cover.JPG

Hii Kyela mwana wane muchere mwanzo mwisho
 
Dabo+rodi.jpg

Dabo rodi ya Sumbawanga, no lami no taa, yaani.. we acha tu

Roundi abouti ya mzunguko ya mpanda mjini, Rukwa

twiga.jpg

Katavi Neshno Paki, Mpanda, Mkoa wa Rukwa

IMG_0804.jpg

Matema Beach hapa, Ufukweni mwa lake Nyassa

Ndizi kisukari, mia tano tu!! Karibuni tukuyu jamani

Hapa mkungu wa ndizi buku jero tu umekula!!

Pole yenu mnaong'ang'ania Bongo kwenye kero kibao kama foleni, joto kali, maisha ghali n.k
Mwakaribishwa huku kwetu nyanda za juu kusini hewa safi, chakula bwerere na maziwa ya kuoga....
kweli huko maisha ni bwerere,hata hao kina dada wanaonesha wana afya nzuri na wanavutia!yaani mkungu wa ndizi buku!
 
Uzuri wa kusini unakula vitu natural kama kuku basi unakula wa kienyeji hawajawekwa hata ARV yaani mambo mswano, nyama ,samaki bei chee pelege kwa kambare unajichana mambo ya mpunga wa Kyela dah ukipikwa mpaka mtaa wa 3 wanasikilizia harufu ya ubwabwa yaani mpaka raha.
 
ARV kwenye kitimoto si ni MBEYA huko huko.......???
 
wangejua wangewabana wabunge wanaomendea kura sasahivi, kwakweli ina uma. watu wanakufa kwa ugonjwa wa mapafu kwasababu ya vumbi. hela naliwa hivihivi. lakini, pamoja na kwamba mimi sitoki huko, hivi kuna equal distribution of resources in tz? mnasemaje hapa, na wabunge wa huko mna nini la kuwatetea watu wenu?
 
Barabara ya kwenda Tukuyu

Mawingu yakiufunika Mlima Loleza, jijini Mbeya.
Kiukweli natamani kuburudika na hali ya hewa na mandhari ya kuvutia.

haa kweli si utani unanikumbusha mambo ya dagaa nyasa, wale samaki watamu kupindukia mbasa na mbelele mkuu ngalikihinja upo? haha ni raha tupu, ukija msimu wa maembe, masuku, madonga, viazi jeshi, kitumbo ndiiii
 
Nipo mlongo.............. masuku = mwanamonga-mwengemshindo-luwawasi, dagaa nyasa, mbasa na mbelele = njambe, fokulendi, Lituhi; viazi jeshi a.k.a makaba................yaani we acha tuu............... sasa mbalaghaa = Tukuyu; mafyurisi = karibu mbeya yoooteee. Kuna ULELEMA, NGUYUGU a.k.a UYOGA

SASA KUNA SIKU NILIFANANISHA MADONGA NA MANGURUNGUNDA..........
 
Mkuu nimecheka mpaka machozi yamenitoka hapo kwenye makaba, ulelema, nguyugu bila kusaha ngohani zote sampuli za uyoga, kuna mapwete yale km matango yana mibamiba, mangatungu, kubwa ya yote mboga ya manyonyoli, inaitwa namgujulu. kule sumbawanga kuna chikande nyama isiyo na damu, nswa aka kumbikumbi, nyanya mpwipwi na nyanya mpoli, migagi aka mabua ya mahindi yakiwa mabichi yanaliwa km miwa hahaaaa
 
We acha tu migagi ya mtama iko mwake kinoma kama miwa ya kilombero vile
 
Nyanda za juu wanatisha ila umesahau daraja la mungu,kesibha na maeneo mengine mengi kule kiwila
 
Back
Top Bottom