A man of men?!

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
BILAL.jpg
 
hili jamaa lilitakiwa liwe soldier la JWTZ lakini linaishia kutoa charity mgongo wake. na kidole limelegeza. nyammbafff! lishanipotezea apetaiti yangu ya supu ya pweza.
 
sasa cheusi umempata wapi tena

anauza ama ameolewa?

kuuza cjui lkn nasikia anatafuta mume aolewe,nasikia anataka kuweka tangazo lake la kutafuta mume hapa jf kwetu,,,lord have mercy on me ili nicje siku moja asubuhi nikafungua new posts nikakutana na tangazo lake la kutafuta mume.
 
Cheusimangala! Ndio umeshamsaidia hivyo kulifikisha hapa:nono:
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Hiyo ndo biashara yake? Duh! Kuuza mgongo kwa midume myenzake! Daah na japo mgongo angepewa ka wa cheusi mangala... Sipati picha inakwaje... Kweli kwishi kwingi mmh... THESE MANDINGO.... Dah.. Denjarazi
 
Watanzania hizi mila/desturi/tabia/mazoea n.k inabidi tuyakubali tu...dunia inabadilika na haya ndio mabadiliko yenyewe!! Mwacheni aje aweke post ya kutafuta mume hapa JF, hamuwezi kujua pengine kuna watu wako tayari kuvinjari naye.

Afadhali huyu aliyejitambulisha kwenye jamii kuliko wale wanaofanya siri; wanaoa na kuanza familia huku wakijua wao wanapenda wanaume wenzao.
 
Cheusimangala! Ndio umeshamsaidia hivyo kulifikisha hapa:nono:
<INPUT id=gwProxy type=hidden><!--Session data--><INPUT id=jsProxy onclick=jsCall(); type=hidden>
no way,nakwenda kinyume naye katika jina la yesu,roho mtakatifu apate kumtembelea huko ktk gereza la kishogari na kumuweka huru.
 
Watanzania hizi mila/desturi/tabia/mazoea n.k inabidi tuyakubali tu...dunia inabadilika na haya ndio mabadiliko yenyewe!! Mwacheni aje aweke post ya kutafuta mume hapa JF, hamuwezi kujua pengine kuna watu wako tayari kuvinjari naye.

Afadhali huyu aliyejitambulisha kwenye jamii kuliko wale wanaofanya siri; wanaoa na kuanza familia huku wakijua wao wanapenda wanaume wenzao.

:disapointed:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom