KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIII! URAMBO MASHARIKI JUUU! MBUNGE WETU SAFIII! SUTI YAKE JE, MKAO WAKE JE! KULALA KWAKE BUNGENI SAAAFIIII!~ NDUGU WANA CCM MBUNGE WETU TANGU AKOSE USIPIKA HANA RAHA ...
Jamaa ameona asikose news make
juzi kati ra kajivua gamba sasa anataka na
baba riz 1 akijivua gamba habari isimpite .akaja kupewa
habari zilizochakachuliwa aisee loool
Huyu mzee dah anakula raha huko SA wakati watoto wake huku tunakufa na njaa na shida ya umeme pia!!! kwanini asifanye kama alivyofanya waziri mkuu wa uingereza?
Kwasababu madawati ni tatizo la kudumu katika shule za watotowetu napendekeza haya: -1=kila mbunge ,mkuu wa mkoa,mkuu wa wilya,wakurugenzi,manaibu waziri,wafanya biashara...
Nilitegemea Jk Atakuwa alisafiri kuhudhuria Hafla ya Kutangazwa Taifa Jipya la South Sudan lakini Sijasikia Hilo Jambo. Duh! Nimestaajabu au Pengine amesikia Nchi hiyo ipo hohe hahe! Haina hadhi...