Machinga wa Dar kazini

Machinga wa Dar kazini

This is bongo bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama kina makamba wanawataka wamachinga watoe milioni 5 ili wapate nafasi machinga complex wewe unafkiri matokeo yake yangekua yepi???

Mtaji elfu 20, machinga complex million 5 !!!!!!

Halafu tnadai eti serikali inawajali raiya wake.!!
 
ikulu imegeuzwa machinga complex unategemea nini kwa walala hoi?
 
Back
Top Bottom