wasira alikuwa na mafua na samwel sitta alipolala alikuwa anaumwa na nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasira alikuwa na mafua na samwel sitta alipolala alikuwa anaumwa na nini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by mkibunga, Jul 21, 2011.

 1. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIII! URAMBO MASHARIKI JUUU! MBUNGE WETU SAFIII! SUTI YAKE JE, MKAO WAKE JE! KULALA KWAKE BUNGENI SAAAFIIII!~ NDUGU WANA CCM MBUNGE WETU TANGU AKOSE USIPIKA HANA RAHA , AMEBUNI NJIA MBADALA YA KUTUWAKILISHA BUNGENI. ANAKOROMA BUNGENI AKIAMKA ANAUNGA HOJA 100 KWA 100 NA KUGONGA MEZA CCM mara CCJ AMA KWELI YAMETUFIKA
  huyu ndo anasema wapinzani wanafiki hali yeye ndo mnafiki anajidai anatuwakilisha kumbe amevembewa nyama za mnadani
  ebu muone alivyovaa baba wa watu na anachokifanya mie nilidhani wasinziao ni wale wenye njaa kumbe na washibao hulala kwa aibu hivi
  IMG_1048.JPG
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  alikuwa na msongo wa mawazo mkuu..
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kufumba macho haimaanishi kuwa mtu kalala, tuwe tunafikiri kisayansi muda mwingine
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  huu ni ugonjwa wa kufuatilia hoja kwa umakini na hadi sasa hauna tiba ya kuaminika zaidi ya ushauri tu
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Anatunga sera za kuwa blast wapinzani ole wenu akiamka na kukuta hoja....haieleweki!!tena imetoka kwa wapinzani!!mtakoma
   
 6. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwita sayansi ipi unayosema ya ccm au tuyoifahamu sote na wewe toa utetezi wa kisayansi kwamba samwel sitta alifumba macho, macho ambayo yamefumbwa kwa kulazimishwa na midomo kungekuwepo na mikunjo,midomo ingeonekana imebanwa lakini kinachoonekana jamaa kalala labda wana ccm ndivyo mnavyofumba macho je alifumba akisali, kuna upepo uliopeperusha vumbi hivyo anajizuia lisimwingie machoni, au alifumba ili amsikie vyema mtoa hoja kazi kwako pata uwezo mwita kama angekuwa kwenye ze komed hapo tuseme alikuwa anakusudia kuchekesha umati maana mheshimiwa kulala ni issue, au ndiyo hii jairo aliiona aksema wabunge ni kama ze ok ya masanja , kiranja,anabanja, hatumii ganja
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  alikuwa anaumwa ccj!
   
 8. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aisee... watu wakilala wanakua wabayaaaaaaa
   
 9. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  kama wewe ulivyofumba siku ile ukikaimu u pm. We unaona kabisa denda linataka kumwaika muasisi wa ccj.
   
 10. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,175
  Trophy Points: 280
  Anaoteshwa point za kuchangia bungeni
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kupinga kila kitu mwisho utaonekana **** la JF siku hizi mwenzio MS kapunguza uzezeta wa kihivo,

  nimefikiri kisayansi na kugundua Sitta kalala kisayansi

  [​IMG]
   
 12. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  "Anafikiri" kwa makini
   
 13. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hiki kibabu kwishney
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkao wa kuachia mashuzi huu!

  [​IMG]
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  aisee hawa wazee sasa too much, sitta, warioba, mrema, komba!!!

  Umri jamaniiiiiiiiiiiiiii
   
 16. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo kuna kiyoyozi, je ingekuwa hakuna si ndo angeshusha na chandarua kabisa
   
Loading...