Namzimia shyrose

Zamani alikuwa akipatikana kwa urahisi Maryland Bar pande za Mwenge Dar.
Hapo kwa red, hebu elaborate zaidi:biggrin1::biggrin1:! Huenda ikamsaidia ttozi bweka kufanya uamuzi sahihi.
 
"Namzimia shyrose"

Fafanua unamzimiaje......?
Kazi zake, alivyo yeye au unamzimiaje ila watu watoe comments zinazostahili!!!
 
iyo chakula ya chotara ya kiarabu ni chakula ya wakubwa na wasanii bwana, nyie mnamzimia mmetimiza vigezo? take away hiyo...
 
kijanaa unatabu...wewee,kuonaa jafarai kalelewaa,katemwaa na wewee unaonaa ni mtelezo unataka kubembeaa.hayaa banaa kilaa la herii kwenye maisha ya romeo na juliet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom