Zitto Kabwe, Kikwete na Rais wa Sudani ya Kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe, Kikwete na Rais wa Sudani ya Kusini

Discussion in 'Jamii Photos' started by Duduwasha, Jul 10, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Nilitegemea Jk Atakuwa alisafiri kuhudhuria Hafla ya Kutangazwa Taifa Jipya la South Sudan lakini Sijasikia Hilo Jambo. Duh! Nimestaajabu au Pengine amesikia Nchi hiyo ipo hohe hahe! Haina hadhi ya yeye kusafiri? Au ndio Tuseme amesikia kilio cha Watanzania Kuwa anamaliza pesa za kodi za watanzania kwa kusafiri safiri ovyo kula kukicha nchi za watu tena misafara yake isiyo na tija.

  Hongere JK kwa kusikia kilio cha Watanzania.

  ===================
  UPDATE:

  Kumbe mheshimiwa alienda, picha chini hapa akiwa huko

  [​IMG]

  South Sudanese children welcome to Juba President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and The First Lady Mama Salma Kikwete shortly after they arrived to participate in the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan held yesterday afternoon
  [​IMG]

  The First Lady Mama Salma Kikwete receives a bouquet of flowers shortly after she arrived at Juba International airport, to participate in the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan while President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete looks on. The First Lady accompanied the President to South Sudan independence celebrations held yesterday afternoon in Juba.
  [​IMG]

  The South Sudan President General Salva Kiir Mayardit welcomes to Juba President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived to participate in the celebrations to mark the birth of the new Republic of South Sudan yesterday afternoon.

  [​IMG]
  President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chats with the South Sudan President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon during the celebrations to mark the birth of the new African Nation.Looking on in the centre is the First Lady Mama Salma Kikwete


  [​IMG]

  President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete congratulates the first South Sudan Republic President General Salva Kiir Mayardit in Juba yesterday afternoon. Looking on, are the first Lady Mama Salma Kikwete and the Great Lakes Region Secretary Genera,l Ambassador Liberata Mulamula.
  [​IMG]
  CHADEMA MP for Kigoma North Hn. Zitto KABWE congratulates the first South Sudan President, General Salva Kiir Mayardit, in Juba shortly after he was introduced by President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(in the background). Hon Zitto Kabwe was part of the Tanzanian presidential entourage to the celebrations to mark the birth of the Republic of South Sudan.Photos by Freddy Maro
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh....Labda..
   
 3. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Jamani nimemwona jk sambamba na mama salma wameongozana kwenye hiyo event.
  Source:taarifa ya habari mlimanitv.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa safari muhimu kama hii yenye fursa kwa watanzania na bidhaa zao hajaenda hapo simuelewi sasa.Hapa ndio alitakiwa 'ajitambulishe' na kumueleza Salva kiir kuna watanzania wanaoweza kusaidia taifa hili changa katika nyanja mbalimbali na aende na wafanya biashara waangalie fursa za kule.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Alikuwepo kajaa tele....kwa nini asiende
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Christopher Columbus a A GREAT LIAR asiwepo tena hahahahha peruz kwenye ma blog utaona anavyoshangilia uhuru wa hao jamaa
   
 7. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angalia MICHUZI utamuona kama kawaida yake.
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Labda hakuna mabembea huko jamani!
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Sijui labda kuna makosa katika taarifa hii!?
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  inawezekana ajafuatilia tv kama mtu anauzuria kipaimara sembuse sherehe kubwa kama hyo... niaje jombaa...
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mh Zitto Kabwe akimpongeza Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Sudan ya Kusini Generali Salva Kiir Mayarditi jana huko Juba baada ya kutambulishwa na Rais Kikwete ambaye anaonekana kwa kwa nyuma.

  [​IMG]
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Jamani huyo kwenye picha siyo Kikwete ameshafika huko tena Lah!
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wenzetu kenya wamechangamkia opportunities huko sisi under CCM siiijuiiiiii
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Alishafika na kurudi.
   
 15. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamaa huwa hachelewi kabisa. Du kazi kweli kweli

   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mshkaji mr Kiir hana mpango wa kunyoa ndevu.......safi ndio identity
   
 17. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hapo salva anatambulishwa rais mtarajiwa wa tanzania, ambaye atafanya nae kazi Mh Zitto Kabwe. Safi sana. JK jitahidi kila unakokwenda usimuache huyo jembe wa ukweli.
   
 18. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Chimunguru
  Re: Zitto Kabwe na Rais wa Sudani ya Kusini
  Wenzetu kenya wamechangamkia opportunities huko sisi under CCM siiijuiiiiii


  Wapo waTZ wameziona na wanapambana, na pia kuna tawi la Mt Meru University ya Arusha hapo Juba tayari.
   
 19. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Uraisi umekua kitu rahisi eeh kila mtu anaweza....huyu ameshachafuliwa na wenye nacho wanaijua bei yake...aiote tu hiyo nafasi aliyoambiwa atapewa mtu wa rika lake.
   
 20. l

  liganga4 Member

  #20
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
   
Loading...