Habari wanajamvi,
wanasema 'a picture speaks a million words', hapa nashani Kingo hakujua consquences za utani wake lakini sidhani kama huyu puppy atabakiza chochote kwenye hiyo 'dudu'
Hiyo kitu unaikuta katika mlango wa Guest House unayokwenda lala.
Nilipoingia katika G/House hiyo sikuwa nimeiona hiyo kitu. Baada ya kukaa siku mbili ndipo, hamad! nikatupa jicho na "kuona hizo...
MICHUZI
Niliwahi kuuliza humu jamvini majukumu hasa ya huyu Mkuu,
Ningeomba mwenye picha zaidi atundike hapa.............ili mwisho wa siku tukampime ni matukio mangapi alizindua katika...