Ya nini Gharama kama huoi au kuolewa wewe?

Ya nini Gharama kama huoi au kuolewa wewe?

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Gharama Ya nini kama huoi au kuolewa wewe? do it simple!!

attachment.php
 

Attachments

  • Very SIMPO MARRIAGE.jpg
    Very SIMPO MARRIAGE.jpg
    129.4 KB · Views: 747
Hayo ya gharama si twayataka wenyewe, kitabu gani cha kidini kinasema lazima kuwe na special attire or reception.
 
Afu Ngoshwe salon za kunyoa sehemu zote za mwili..........zipunguze mkuu
 
Kakudanganya nani kama hao wapambe nguo zao sio za gharama,huyo maid of honor hiyo nguo inaweza kuwa expensive kuliko hata ya bi harusi,au kwa vile hawaonyeshi label.
 
Back
Top Bottom