R.I.P Stephen Galinoma

R.I.P Stephen Galinoma

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,898
Reaction score
63,521

Mbunge wa zamani wa jimbo la Kalenga Mhe.Stephen Galinoma pichani amefariki dunia wakati akikimbizwa katika hospitali teule ya wilaya ya Iringa hospitali ya Ipamba . mia
 
RIP Stephen.

Bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
 
Wazee wa zamani Upanga wanatutangulia, juzi tu tumetoka kumuaga Dr. Maro, leo nasikia Mzee Galinoma.

Henry, Pijo, Inno familia yote, Mindu, poleni.
 
Wazee wa zamani Upanga wanatutangulia, juzi tu tumetoka kumuaga Dr. Maro, leo nasikia Mzee Galinoma.

Henry, Pijo, Inno familia yote, Mindu, poleni.

we acha tu!
Wazee wetu hawa wanaishia.....
R.I.P baba,
poleni sana Joey, Kipingu,Suzy, Ben, Ras Inno,Grace na wote wa Mindu str Upanga na Iringa.

we acha tu!
Wazee wetu hawa wanaishia.....
R.I.P baba,
poleni sana Joey, Kipingu,Suzy, Ben, Ras Inno,Grace na wote wa Mindu str Upanga na Iringa.

mbona hujawapa pole wale wa pale charambe street?. Mia
 
we acha tu!
Wazee wetu hawa wanaishia.....
R.I.P baba,
poleni sana Joey, Kipingu,Suzy, Ben, Ras Inno,Grace na wote wa Mindu str Upanga na Iringa.

Tausi,

Unaikumbuka au uliwahi kusikia story yake na Suzy? mmmm na pia marehemu alikuwa analinga saaana kama mwanamke ukitaka kujua hili muulize Mh Makweta. Mwanae Joel ni jamaa safi saaana, Anyway R.I.P Mzee Galinoma
 
Back
Top Bottom