Ona mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona mwenyewe

Discussion in 'Jamii Photos' started by Masika, Jan 25, 2012.

 1. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mh hizi filamu za kibongo hatari tupu,yaani mke wangu wa ndoa nimruhusu achezewe namna hii?HATA SIKU MOJA..wamefikia hatua ya kula denda(romance au soda ya kopo) je ndio maadili yetu.FILAMU ZA KIBONGO NI MAPENZI TU. Why? Kwanini?
   
 3. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huwa hawaishii hapo,wakimaliza kuigiza wanafanya kweli.
   
 4. H

  Hussein Njovu Senior Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2006
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani si tunawaiga wazungu walioleta sinema jamani! Hii mbona cha mtoto, hapo baadae siku si nyingi itakuwa kama Hollywood kabisaaa na sinema za kibongo zitagawanya katika makundi ya "U" na "X" kama parental guide
   
 5. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hata kama mapenzi yanarun dunia wenzetu hawa wamepitilizaa.
  mijanaume inayoruhusu wake zao kufanya iv sijui inakuwa inawaza nn, sijui ndio wame ***** maana sielew.
  hata kama wako kazin wanapitiliza aisee, na kweli wakitoka hapo kwenye kushikanashikana wanaenda kumalizana kbs mmh. shame on them.
   
 6. Bwaksi

  Bwaksi Senior Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 7. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mi mke wangu hafanyyi kazi hii
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hahahahaaa!! mke anauma
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
 10. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 14,468
  Likes Received: 6,761
  Trophy Points: 280
  Acheni mawazo mabaya,watu wako kazini,Afteral hapo kuna watu kibao wamewazunguka
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hata kama ni maigizo hapo noma
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  jamaa wanaowapa nyumba zao kwa ajili ya lokesheni huwa wanalalamika sana.
  Bhanazigeuza gesti.
   
 13. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,849
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Acha hz wewe, hata kama.Mi cwezi kumruhuru ashkwe paja na virus wewe.
   
Loading...