wakuu heshima mbele.
nilitaka kupeleka hii kweny jukwaa la siasa lakini naileta hapa hili mtafakari uhalisia wa jinsi Mtanzania wa kawaida alivyo leo hii baada ya miongo zaidi ya 15 ya ujio wa...
Wadau, kwa wale wanaohitaj mbegu bora ya mbwa, dume linapatikana bure...its best hybrid kwa ajili ya ulinzi wa nyumba na mashamba!Kwa atakaye hitaji, n-PM.....
1. Mradi wa nyumba za ppf, zipo nyingi lakini sikuweza zipiga zote kwa wakati mmoja.
2.City view nikiwa juu ya ghorofa ya makongoro (ccm makao makuu)
3. Mitaa kadhaa ikionekana kwa mbali, mjii...
nimeolewa na nina mtoto mmoja ila mume wangu ana wivu sana, mara nyingi tukiangalia movies au tukitoka out akiona mwanamke mrembo hupenda kumsifia na wakati mwingine kumsifia lakini mm huwa...