Mmasai wa Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmasai wa Marekani

Discussion in 'Jamii Photos' started by MDAU JR, May 2, 2012.

 1. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu Huyu anapata adhabu hii kwa kosa gani?
   

  Attached Files:

 2. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli dunia imeisha anadhani amependeza kumbe ka dudu fulani
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,177
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  mambo mengine kama ushetani vile
   
 4. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,355
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  wamasai hatuko hivyo watch urself bwana mdogo..
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Anatisha

  Fail
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Marekani wapo wengi tu hasa State za kusini mwa Marekani kama Louisiana, Alabama, Mississippi, nk Ni kabila fulani wanautamaduni wao. Ukiwaona hasa ambao ni wa bush hasa hata nguo zao huwa hawafui tangu zikiwa mpya hadi zinachakaa. Na wanashona viraka sana. Ila hawatembei nusu uchi kama walioendelea. Jasa wamawale wamakofimola vvema. Wanaogopwa sana na Wamarekani walioendelea kwa vile inaelekea ni washirikia sana.
   
 7. NGUGO

  NGUGO Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duniani kuna mengi.
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nimeizimikia avata yako mkuu....
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bado nasisitiza ufiki (upungufu wa fikra kichwani) ni tatizo kubwa sana zaidi ya malaria.
   
Loading...