Kipanya leo!!

safi sana Kipanya
ya kwangu unaipata
na watanzania wanatamani sana kuukataa umaskini kwa njia zote ila wanakosa utashi na msukumo kutoka kwa wale waliowachagua
 
Huyu bwana kwa mtazamo wangu ni zaidi ya mwandishi !
 
Lakini mbona anapenda kuvaa shati la CCM??:noidea:
 
Utapata nyingi tu, zitazidi mia. Plus mine please.

Alafu unapeleka wapi kipanya? Kwa RAIS?
 
Sioni haja ya kusaini kipanya. Nina nyumba tatu Oysterbay zote nimenunua kwa dola, Gari za kutembelea tano na nasomesha watoto na kutibiwa ujerumani, nina hisa kampuni 3 za kimataifa. Infwacti nanufaika na umasikini wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom