Mbegu bora! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbegu bora!

Discussion in 'Jamii Photos' started by munisijo, May 3, 2012.

 1. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 869
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Wadau, kwa wale wanaohitaj mbegu bora ya mbwa, dume linapatikana bure...its best hybrid kwa ajili ya ulinzi wa nyumba na mashamba!Kwa atakaye hitaji, n-PM.....
   
 2. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yupo wapi huyo mbegu bora. Weka picha.
   
 3. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hiyo mbegu siyo moja ya zile zinazouzwa maeneo ya victoria na yale mateja? Weka picha na utaje ni breed gani utapata wateja.
   
 4. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mkuu nadhani umesahau picha
   
 5. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Haiwezi kuwa mbegu bora na ikapatikana bure!
   
Loading...