Naalaani picha hii

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Si wenzangu mnanenaje juu ya picha hii.is this a real pope or statue?
 
Attachments

  • POPE.jpg
    POPE.jpg
    43.5 KB · Views: 552
nalaani udhalilishaji wa aina yeyote kidini, hata ww usingeiupload hii picha usicheze na imani za watu
 
Hii ni sanamu tu kama zile nyingine za madame Tsauder kule UK and USA ambapo sanamu za watu mashuhuri wametengenezwa kwa nta na kuwekwa kwenye display.
 
Kweli picha kama hiyo haina maana nzuri kwani hata aliyepigia picha kama hiyo mbele ya hiyo sanamu atalaaniwa!
 
Kweli picha kama hiyo haina maana nzuri kwani hata aliyepigia picha kama hiyo mbele ya hiyo sanamu atalaaniwa!
Aliye tengeneza sanamu ndie wa kulaaniwa ! '' Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu'' 1 Wakor 10:14
 
Wangekuwa WAZEE WA UBWABWA ingekuwa balaa. Wangelipuka na kuandamana kuanzia kwa mtogole mpaka jangwani na kuchoma bendera za marekani na israel.
 
Wangekuwa WAZEE WA UBWABWA ingekuwa balaa. Wangelipuka na kuandamana kuanzia kwa mtogole mpaka jangwani na kuchoma bendera za marekani na israel.
Sie hatupendi mzaha kwenye mambo ya msingi ! Welichekewa huko nyuma wakaichoma Tourat yote, kisha wakachoma Injil yote, sasa imebakia ''kumbukumbu la Tourat na Agano jipya'' Kisha wakadai wamemuona Mungu hapa Duniani !
 
Aliye tengeneza sanamu ndie wa kulaaniwa ! '' Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu'' 1 Wakor 10:14

Bwana Kombo...nimefurahi sana kuona ukinakili andiko kutoka wakorinto.....Je, muandishi wa waraka huo unamuamini? Unaamini yote aliyoandika au unachagua unayoyaona yanakufurahisha wewe na kutetea tu hoja unayoisimamia?
 
Back
Top Bottom