Hii picha imenikumbusha mbali sana, siku nzima furaha tu yaani haukumbuki msosi wala nini, sio kama leo vitoto vinawaza simu tu, akicheza nje dakika kumi anahema na kurudi ndani acheze games za...
Nimekubali ya kuwa furaha ni kitu gali sana.Kumbe fedha na mamlaka bado havina uwezo wa kumpa mtu furaha!Unaweza kufikiri ya kwamba hapa wapo kwenye msiba kumbe la hasha, wapo katika mchakato wa...