donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ghetto.com
UkwajuHiyo kwenye sahani ni juisi ya miwa?
Ukwaju
Nlishashindilia matunda mkuuMbona ugali kidogo hivyo?
Leo ya kawaida mkuu si unajua siku hazifananiLeo mkuu huna midikodiko ile ya kutoa mate,.
Nlishashindilia matunda mkuu
Leo ni juic ukwaju, mtindi, ugali na kande? ni tamuuuUkwaju
Hapana sio kande mkuu, hiyo ni roast ya mayaiLeo ni juic ukwaju, mtindi, ugali na kande? ni tamuuu
Mkuu, mimi ni msukuma, amini kwamba nlikua nimeshindilia matunda yakutosha beforeHako kaugali msukuma anakamaliza kwa kuonja tu.
Tokulya mputa mkulu?
sawa mzee.Mkuu, mimi ni msukuma, amini kwamba nlikua nimeshindilia matunda yakutosha before
Ahahaaa basi mi nilijua we mhaya etiMkuu, mimi ni msukuma, amini kwamba nlikua nimeshindilia matunda yakutosha before
CONTROLA ile mboga yako pendwa eti ndiyo hii ???Hapana sio kande mkuu, hiyo ni roast ya mayaiView attachment 966447
Hahaha.ndio hiyo hiyo mdogo wangu mzuri,ila huyo kazingua bwana anawekaje mayai mchuzi asee!