Picha ya Pope John Paul II na mtu aliyejaribu kumuua wakipiga soga!! kwa nini sisi watz tunashindwa kusamehe na kuvumiliana kwani huo ndio msingi mkuu wa ubinadamu na namna ya pekee ya kuiona AKHERA!
Huwa nnatumia simu katika kupata huduma,tatizo ni kuwa, kwa sasa na wakati mwingine picha zinazofunguka huwa ni ndogo sana kuweza hata kuzitambua,
na nyingi hazikubali kukuzwa,
naombeni msaada...
Kiongozi wa jumuiya na taasisi za kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda na wafuasi wake wapatao 49 waliokamatwa na jeshi la polisi jijini Dar es Salaam kutokana na tuhuma mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.