I Need a Hero

I Need a Hero

Genderi

Senior Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
102
Reaction score
17
Bongo land.jpg
Muonja asali haonji mara moja
 
Kusoma mali, ila nafikiri he means the opposite!!
 
Huyo ndiyo sharo wa kijiji ambaye anaaminika kwa kusoma barua za kiswa-english toka mjini.Hapo kashawalisha sumu washkaji kuhusu maana ya hayo maandishi.

Ama kweli, lugha ya malkia ni noma.
 
Hii sasa hatari...does he have any idea what those words means!
 
Back
Top Bottom