Mmachinga kajenga kibanda chake, kimekuja kupigwa X na halmashauri na kuandikwa ONDOA KWA AMRI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Mmachinga kajibu SIONDOI KWA AMRI RAIS WA TANZANIA, NA...
Aliyemuelewa aning'amulie mie ngumbaru.
Pia Kitenge nae hizi kauli tunajua zipo kwenye maandiko sa yeye kwanini hakuzitoa siku zote hadi asubiri leo,
Mambo ya wanaharakati mitandaoni sina haja...
Ujenzi huu ni maalumu na wa kimkakati ili kurahisisha Ujenzi wa Daraja la Kudumu la Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilometa 3.2
Matumî sahihi ya Rasilimali huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote