How old were you?

How old were you?

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Ulikuwa na miaka mingapi wakati unaanza kutumia pesa hii

Screenshot_20210314-161703.jpg
 
Hii Senti hamsini(50 Cent) si ya juzi juzi tu? Hii si ilikuwa inatumika kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90? Sas kina Dayamond nao si wametumia kununulia pipi? Weka zile za wamasai.
 
Ulikuwa na miaka mingapi wakati unaanza kutumia pesa hii

View attachment 1725387
sijawahi itumia, infact mm nimekuta noti ya 200 bas, na sh kumi ulikua na uwezo wakununua mazagazaga, ila hapa nilipo ninayo Hadi senti tano ya 1945 Yani Nina collection yangu ya coin za zamani Hadi ile yenye tundu Kat nnayo.just keeping them huenda Kama sio Mimi bas wanangu ama wajukuu wataziuza Kama rare coins.
 
Hujajibu swali la mleta mada

Wakati huo senti hamsini zinatumika nilikuwa na 24 yrs mwanzoni mwa miaka ya 90 ,tulikuwa tunachota maji(wanayaita ya mdundiko- Unapump manually kwa kuvuta juu na chini mshikio wa chuma-kulikuwa hakuna motor ) Debe la korie unalipa sent hamsini ila kwasasa dumu la lita 20 tunachota kwa Tsh 100.
 
Shkamoo nyingi sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom