Ni ujumbe tu, weekends zinapokuja tunajua tu ku spend starehe kibao,
Tunawaacha wenzetu, japo hatuwezi kusaidia wote, lakini angalau ukiwakumbuka wasio navyo mara moja moja sio mbaya..
Jamani...
KULA CHIPS UPATE HIPS. CHIPS is 4 ladies
Because CHIPS is the word from HIPS
Thats why wanakula CHIPS ili wapate HIPS.
Je?
Wewe KAKA unakula chips upate nini?
mkitoka hapo ndo mnaanza kuja kulia...
Hiki Kiti Kilikuwa Kinatumiwa Sana Na Mababu Wa Zamani Sana Ambao Viuno Vyao Vilikuwa Vimekazwa Sana Kwa Shughuri Za Kilimo Hivyo Kiti Cha Namna Hiyo Kilitumika Kunyonyea Mgongo Baada Ya Shughuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.