Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Ni ujumbe tu, weekends zinapokuja tunajua tu ku spend starehe kibao,
Tunawaacha wenzetu, japo hatuwezi kusaidia wote, lakini angalau ukiwakumbuka wasio navyo mara moja moja sio mbaya..
Jamani kufa kwaja, mkumbukeni mola wenu....