Uchizi upo popote ulimwenguni

Uchizi upo popote ulimwenguni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1423385538402.jpg
 
Ni huku tu mnashangaa lakini kule kwao kuna makuu zaidi. Naturalists wanaongezeka kila siku. Kuna nudists camps nyingi kuliko mahesabu na huko unaacha vifaa vyote pale getini mpaka siku utatoka. Kwani mbali si hapo Greece tu?
 
Baadhi ya waafrika walivyo na akili finyu wataiga!!! Hawa wenzetu ngozi zao ni sawa na za kitimoto wala hazina msisimko wowote
 
Back
Top Bottom