Na ndio maana hawa jamaa huwa wanavamiwa na kuporwa silaha kiurahisi kabisa, kuna haja ya jeshi la polisi kuwaangalia upya hawa vijana mnao waajiri siku hizi.
Ni Diamond Platinumz,
Kijana kwa level alizofika sasa hata Ali Kiba ambaye alianza muziki kabla yake, inaonekana amepigwa gepu katika kila kona!
Tumuombee kila heri aendelee kung'aa kimuziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.