Huyu jamaa ni nani hasa kiundani??

Huyu jamaa ni nani hasa kiundani??

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Mimi si mfuatiliaji sana wa habari za kimataifa. nimekutana na hiki mtandaoni, nimeshindwa kumjua huyu mtu kiundani..

Charlie Hebdo, who is he?

247CDC7900000578-2900835-image-a-79_1420668917531.jpg
 
Navyojua mie pitia GUGO huyu CHARLIE HEBDO lazima ni ndugu yake JE SUIS kama utabisha GUGO uone.:heh:
 
Ni mchora vikatuni wa ufaransa aliyeleta tafrani mwanzoni mwa mwaka ambapo ofisi za gazeti lao ilivamiwa na wale wauaji wawili.
 
Back
Top Bottom