mimi ninazikumbuka hii Adhabu mnamo mwaka 1974 nipo Shule ya Msingi hapo kazi kweli nilikuwa sipendi kweli nipewe Adhabu hii na Mwalimu wangu wa Darasa. Je wewe Mwenzangu unakumbuka hii adhabu...
Haya mafuriko sio ya kutengeneza kama yake ya Lowassa ambayo walitumia picha za Conakry Guinea. CCM haina ushindani Tanzania yote. Mwanza asante sana na huu ujumbe umesha wafikia UKAWA.
Hapa ni...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akihutubia wakazi wa mji wa Tunduma kwenye mkutano wa kampeni za CCM...
Mh John Magufuli sasa amebakia kuapishwa tu maana hana mpinzani Tanzania. Hakuna wa kumsimamisha hata kiwe kisiki cha Mbuyu lazima king'olewa tu.
Hapa Kazi tu ndio slogan yake na imesha anza...
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili kwenye...
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa akifurahi jambo na watoto wakati alikuwa akitoka kanisani kwenye Ibada ya Jumapili, Musoma.
Mungu ipe faraja hii familia jamani, Ufurahi huko uliko na malaika Wa mungu na watakatifu wake Deo Dunia inakumis hasa Tanzania u gone too young and soon brother.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.