Be warned; This is Sierra Leone

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
1445072840973.jpg
 
Wahanga wa siasa na madaraka
mshanajr, unaniangusha sana chama tawala kukitoa madalakani Afrika si sawa na kumnyamazisha mtt kwa kumpa pipi,kunahitaji kujitoa kwa hali na mali.MUKIWAZA HAYO BASI TUANZE KAMPENI YA KUPINGA MABADILIKO KWA KUWA MWATAKA MABADILIKO HUKU MUNAKUNYWA KAHAWA HAIWEZEKANI NA HAITAKAA KUWEZEKANA KWA AFRICA.
 
Last edited by a moderator:

samsun sijakuangusha ccm ndio wanaweza kutuletea balaa lote hili...umemsikia mkapa alichokisema? God forbid lakini kama kuna washenzi na dhalimu kwasasa ccm ndio wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom