Mh. John Pombe Magufuli akiwa Pemba katika kampeni za Urais. Hii ni ishara tosha kuwa Magufuli ni kipenzi cha watu na ushindi wake utakuwa Mzito.
Mpigie kura yako ya ndio Mh. John Magufuli
Huyu ni Rais wetu wa Tano, watake au wasitake, habari ndio hii. Hapa akiwa Ukonga Dar Es Salaam, Hakika Mh. John Magufuli ni kipenzi cha Watanzania.
Mpigie Kura yako ya Ndio Mh. John Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.