Mungu ipe faraja familia ya Deo

Mungu ipe faraja familia ya Deo

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
11214128_907477472677740_4902869186060940762_n.jpg
[/h]
12120055_907477542677733_6297519881648820809_o.jpg

12088022_907386829353471_5776385369947192370_n.jpg

Mungu ipe faraja hii familia jamani, Ufurahi huko uliko na malaika Wa mungu na watakatifu wake Deo Dunia inakumis hasa Tanzania u gone too young and soon brother.
 
R I p raha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umwagazia apumzike kwa aman
 
RIP shujaa wa taifa ulikuja ukatumika umetuachia alama ya kuiga
 
Inaumiza sana,watoto bado wadogo sana,pole sana habiba kwa kuondokewa na usingizi wako
 
nakumbuka kauli yake akiwasema ccm wenzie kwa tabia yao ya kupinga mazuri ya wapinzani
 
maccm mjipange!sidhani kama deo alishawahi mdhihaki edo!hili ni soma kwenu..."wazima" wanaenda,"wagonjwa" wanabaki!
 
Siamini nlichokisikia!.
Umeondoka mapema sana kaka Deo.
Ulale pema mbele yetu nyuma yako.
 
[h=3]
11214128_907477472677740_4902869186060940762_n.jpg
[/h]
12120055_907477542677733_6297519881648820809_o.jpg

12088022_907386829353471_5776385369947192370_n.jpg

Mungu ipe faraja hii familia jamani, Ufurahi huko uliko na malaika Wa mungu na watakatifu wake Deo Dunia inakumis hasa Tanzania u gone too young and soon brother.

R.I.P Deo
 

Attachments

  • 1445025757369.jpg
    1445025757369.jpg
    44.5 KB · Views: 528
  • 1445025800589.jpg
    1445025800589.jpg
    27.3 KB · Views: 446
  • 1445025822932.jpg
    1445025822932.jpg
    33.7 KB · Views: 442
Na hlo hekalu ndo kaliacha??kweli dunia mapito,yatupasa kujiandaa maana hatujui cku wala saa
 
Daah watoto bado wadogo Sana maskini. Lakini Mungu mi baba kwa wasio na baba, na pia ni mume wa wajane. Mungu akawapiganie na kuwapa faraja katika kipindi hiki kigumu sana kwao. Pumzika kwa amani mh Deo
 
Back
Top Bottom